Nguo safi zilizopangwa
# Laundry & Cleaning Service Dar...

Usafi wa Kiwangocha Juu

Pickup & Delivery Dar es Salaam

Open 24 Hours

Professional Laundry Services

Kuhusu Sisi

Wataalamu wa usafi unaweza kuwategemea.

MISS TEE LAUNDRY SERVICE ni kampuni inayotoa huduma bora za usafi wa nyumba, ofisi, nguo, mabegi, viatu na huduma nyingine za usafi kwa wateja wa Dar es Salaam.

500+
Wateja
24/7
Huduma
100%
Ridhaa
Soma zaidi kuhusu MISS TEE
MISS TEE Laundry
Huduma Zetu

Tunachofanya kwa Ubora

Chagua huduma unayohitaji. Tutakuja kwako au unaweza kutuletea.

Kufua Nguo

Kufua Nguo

Huduma ya kufua na kupiga pasi nguo zako zote.

Kufua Mabegi

Kufua Mabegi

Tunasafisha mabegi yako kwa umakini bila kuyaharibu.

Kusafisha Viatu

Kusafisha Viatu

Viatu vyako vyote vinarudi vikiwa kama vipya.

Usafi wa Nyumba

Usafi wa Nyumba

Usafi kamili wa nyumba kwa weledi wa hali ya juu.

Usafi wa Ofisi

Usafi wa Ofisi

Mazingira safi yanayoongeza tija ya kazi.

Deep Cleaning

Deep Cleaning

Usafi wa kina kwa nafasi zilizoharibika kwa muda mrefu.

Carpet Cleaning

Carpet Cleaning

Tunasafisha mazulia kwa mashine za kisasa.

Sofa Cleaning

Sofa Cleaning

Soffa zako zinarejeshwa katika hali safi na fresh.

Kwa Nini Sisi

Sababu za Kuchagua MISS TEE

Huduma 24/7

Tupo tayari kukusaidia muda wowote.

Bei Nafuu

Gharama rafiki bila kupunguza ubora.

Vifaa vya Kisasa

Tunatumia mashine na dawa salama.

Timu ya Wataalamu

Wafanyakazi waliofunzwa na waaminifu.

Ushuhuda

Wateja Wetu Wanasema

★★★★★

"Huduma ya hali ya juu! Nguo zangu zilirudi safi kabisa na harufu nzuri."

A
Asha M.
Mteja - Mikocheni
★★★★★

"Wamesafisha ofisi yetu vizuri sana. Wafanyakazi wenye nidhamu na waaminifu."

J
John K.
Meneja - Masaki
★★★★★

"Viatu vyangu vya ngozi vilirudi vikionekana kama vipya. Asante MISS TEE!"

N
Neema P.
Mteja - Sinza
Picha

Kazi Zetu Bora

Gallery 1
Gallery 2
Gallery 3
Gallery 4
Gallery 5
Gallery 6
Gallery 7
Gallery 8

Uko Tayari Kuanza? Wasiliana Nasi Leo

Tupo Dar es Salaam masaa 24, siku saba kwa wiki. Tunatoa huduma za kitaalamu, za kuaminika na bei rafiki — pickup na delivery hadi mlangoni kwako.

Mahali
Dar es Salaam, Tanzania
Email
missteelaundry.office@gmail.com
Simu ya Kwanza
+255 616 209 464
Simu ya Pili
+255 684 251 323