Wateja Wetu Wanasema

Maoni ya kweli kutoka kwa wateja wetu walioridhika.

★★★★★

"Huduma ya hali ya juu! Nguo zangu zilirudi safi kabisa na harufu nzuri."

A
Asha M.
Mteja - Mikocheni
★★★★★

"Wamesafisha ofisi yetu vizuri sana. Wafanyakazi wenye nidhamu na waaminifu."

J
John K.
Meneja - Masaki
★★★★★

"Viatu vyangu vya ngozi vilirudi vikionekana kama vipya. Asante MISS TEE!"

N
Neema P.
Mteja - Sinza
★★★★★

"Bei nzuri, huduma haraka, na matokeo mazuri. Napendekeza sana."

D
David S.
Mteja - Kinondoni
★★★★★

"Carpet yangu iling'aa baada ya huduma yao. Naomba huduma kila mwezi."

F
Fatma R.
Mteja - Upanga
★★★★★

"Wapo 24/7 kweli kweli. Niliwapigia usiku wakaja asubuhi mapema."

M
Mussa H.
Mteja - Tegeta