
Kufua Nguo
Huduma ya kufua na kupiga pasi nguo zako zote.
Tunatoa huduma kamili za usafi kwa nyumba, ofisi na vitu vyako binafsi.

Huduma ya kufua na kupiga pasi nguo zako zote.

Tunasafisha mabegi yako kwa umakini bila kuyaharibu.

Viatu vyako vyote vinarudi vikiwa kama vipya.

Usafi kamili wa nyumba kwa weledi wa hali ya juu.

Mazingira safi yanayoongeza tija ya kazi.

Usafi wa kina kwa nafasi zilizoharibika kwa muda mrefu.

Tunasafisha mazulia kwa mashine za kisasa.

Soffa zako zinarejeshwa katika hali safi na fresh.